|
Balozi
wa Jamhuri ya Colombia mwenye makazi yake nchini Kenya Mhe. Monica Greiff Lindo
akiwasilisha Hati za utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan Ikulu Jijini Dar es Salaam Agosti 26, 2021
|
|
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na
Balozi wa Jamhuri ya Colombia nchini nchini Mhe. Monica Greiff Lindo baada ya
kupokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi huyo Ikulu Jijini Dar es Salaam Agosti
26,2021
|
Balozi
wa Jamhuri ya Australia nchini mwenye makazi yake nchini Kenya Mhe. Luke Joseph
Williams akiwasilisha Hati za utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Ikulu Jijini Dar es Salaam Agosti 26, 2021
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Australia
hapa nchini Mhe. Luke Joseph Williams baada ya kupokea Hati ya utambulisho
kutoka kwa Balozi huyo Ikulu Jijini Dar es Salaam Agosti 26,2021
|
|
Balozi
wa Jamhuri ya Czech mwenye makazi yake nchini Kenya Mhe. Martin Kleptiko akiwasilisha
Hati za utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan Ikulu Jijini Dar es Salaam Agosti 26, 2021 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Czech
hapa nchini Mhe. Martin Kleptiko, mara baada ya kupokea Hati ya utambulisho
kutoka kwa Balozi huyo Ikulu Jijini Dar es Salaam Agosti 26,2021
|
|
|
Balozi
wa Chile mwenye makazi yake nchini Kenya Mhe. Maria Alejendra Ferraz de Andrade
akiwasilisha Hati za utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan Ikulu Jijini Dar es Salaam Agosti 26, 2021
|
|
Balozi
wa Belarus mwenye makazi yake nchini Kenya Mhe. Pavel Vziatkin akiwasilisha
Hati za utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan Ikulu Jijini Dar es Salaam Agosti 26, 2021 |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.