Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga
Taifa Dkt. Stergomena L. Tax (Mb) akiongoza ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania katika Mkutano wa kawaida wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini
mwa Afrika (SADC) unaofanyika Lilongwe Malawi (Machi 18 – 19,2022). Kushoto kwa
Dkt. Tax ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Balozi Mbarouk Nassor (Mb) Mbarouk,akifuatiwa na Naibu Waziri wa Fedha Mhe.
Hamad Hassan Chande (Mb) na Mipango na Naibu Waziri wa Uwekezaji,Viwanda na
Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb)
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.