Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya akizungumza na Bw. KWON Hee-seog, Mkurugenzi anayeshughulikia masuala ya Afrika na Masharikiriki ya Kati kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Korea ambaye ametembelea nchini kwa ajili ya kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Jamhuri ya Korea. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.