Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Liberata Mulamula (kulia), akizungumza na Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Ibrahim Al-Najem alipokuja kumtembelea Wizarani. Mazungumzo hayo yalijikita katika kuimarisha mahusiano zaidi kati ya Tanzania na Kuwait katika sekta mbali mbali zikiwemo zile kiuchumi na biashara. Pia Balozi Jasem Ibrahim Al-Najem alitumia fursa hiyo kuipongeza Wizara na Watanzania kwa kumpata Rais wa Awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.