Na Mwandishi wetu, Dar
Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Liberata Mulamula (Mb) amekutana na
kufanya mazungumzo Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anaeshughulikia masuala
ya Siasa Mhe. Victoria Nuland Jijini Dar es Salaam.
Pamoja
na mambo mengine, mazungumzo ya viongozi hao yalilenga kuimarisha uhusiano wa
Kidiplomasia uliopo baina ya Tanzania na Marekani.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anaeshughulikia masuala ya Siasa Mhe. Victoria Nuland akiongea
na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi
Liberata Mulamula (Mb) katika Ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam
|
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Liberata
Mulamula (Mb) akimuelezea jambo Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani
anaeshughulikia masuala ya Siasa Mhe. Victoria Nuland katika Ofisi ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam |
|
Kikao
baina ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi
Liberata Mulamula (Mb) na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani
anaeshughulikia masuala ya Siasa Mhe. Victoria Nuland kikiendelea |
|
Kikao
baina ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi
Liberata Mulamula (Mb) na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani
anaeshughulikia masuala ya Siasa Mhe. Victoria Nuland kikiendelea |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.