Na Mwandishi wetu, Dar
Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula amekutana na kufanya
mazungumzo na Balozi wa Qatar nchini Tanzania Mhe. Hussain Ahmad Al Homaid leo
Jijini Dar es Salaam.
Pamoja na mambo mengine, viongozi
hao walijadili masuala ya kuimraisha uhusiano wa kidiplomasia, kuendeleza
biashara na uwekezaji katika sekta za sekta za Madini, Utalii, pamoja na Mafuta
na Gesi.
Mazungumzo baina ya Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula na
Balozi wa Qatar nchini Mhe. Hussain Ahmad Al Homaid yakiendelea
Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula pamoja na Balozi wa
Qatar nchini Mhe. Hussain Ahmad Al Homaid wakiwa katika picha ya pamoja na
baadhi ya watumishi wa Wizara pamoja na Ubalozi wa Qatar
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.