MFA Tanzania
Thursday, September 10, 2020

Nchi za Ulaya Zahimizwa Kuondoa Vizuizi vya Kusafiri

›
Jumuiya ya nchi za Afrika, Carribean na Pacific (OACPS) imetoa wito kwa Umoja wa Ulaya kuondoa vizuizi vya kusafiri (travel bans) kwa baadhi...
Tuesday, September 8, 2020

MAREKANI YAWATAKA WATANZANIA KUSHIRIKI UCHAGUZI, KUMCHAGUA KIONGOZI BORA

›
  Balozi wa Marekani hapa nchini Mhe. Dkt. Donald Wright amewataka Watanzania kushiriki kikamilifu katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Octoba...
Monday, September 7, 2020

BALOZI IBUGE AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI

›
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amekutana na kufanya mazungumz...

PROF. KABUDI AMUAGA BALOZI WA IRAN NCHINI TANZANIA

›
  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi amemuaga Balozi wa Iran nchini, Mhe. Mousa Ahmed ...
Saturday, September 5, 2020

PROF. KABUDI, BALOZI IBUGE WASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KUFUTIA KIFO CHA RAIS WA ZAMANI WA INDIA

›
  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi na Katibu Mkuu wa wizara hiyo Balozi Brigedia Jen...
Friday, September 4, 2020

TZ YAIHAKIKISHIA UINGEREZA NA JUMUIYA YA KIMATAIFA UCHAGUZI HURU, HAKI

›
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeihakikishia Uingereza pamoj...

Naibu Katibu Mkuu aongoza Ujumbe wa Tanzania kwenye majadiliano ya biashara baina ya EAC na Uingereza

›
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Mwinyi Talib Haji akifuatilia kikao cha  kuajadili namna...

Tanzania kuwania nafasi ya Ujumbe wa Mfuko wa Pamoja wa Mazao Duniani

›
Balozi wa Tanzania nchini Uholanzi, Mhe. Irene Kasyanju amemnadi mgombea wa Tanzania anayewania nafasi ya ujumbe kwenye Kamati ya Ushauri ya...
Thursday, September 3, 2020

BALOZI WA TANZANIA NCHINI KENYA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO KWA RAIS KENYATTA

›
  Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. Uhuru Kenyatta amepokea hati za utambulisho za Balozi wa Tanzania nchini Kenya Mhe. Dkt. John Stephen Simba...
Wednesday, September 2, 2020

KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AFANYA MAZUNGUMZO NA MRATIBU MKAZI WA UMOJA WA MATAIFA NCHINI

›
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Generali Wilbert A. Ibuge akizungumza na Mratibu M...
Monday, August 31, 2020

KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA KENYA NCHINI

›
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Generali Wilbert A. Ibuge akiwa katika picha ya pa...
Friday, August 28, 2020

KATIBU MKUU WA MAMBO YA NJE AZUNGUMZA NA BALOZI WA UBELGIJI NCHINI

›
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Generali Wilbert A. Ibuge akizungumza na Balozi wa...

FURSA YA AJIRA KWA WATANZANIA - WHO, AUDA-NEPAD PAMOJA NA UN - HABITAT

›
 
Thursday, August 27, 2020

KATIBU MKUU BALOZI BRIGEDIA JENERALI WILBERT IBUGE AFANYA MAZUNGUMZO NA ENG. STEVEN MLOTE

›
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge akisalimiana na Naibu Katibu...
‹
›
Home
View web version

About Me

My photo
ForeignTanzania
View my complete profile
Powered by Blogger.