Wednesday, May 29, 2013
Tanzania Yaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Walinda Amani
Dkt. Emmanuel Nchimbi akisalimiana na Mwakilishi kutoka Jeshi la Wananchi wakati wa sherehe hizo |
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi akisalimiana na wanajeshi waliowahi kulinda amani katika nchi mbalimbali duniani. |
Tuesday, May 28, 2013
Saturday, May 25, 2013
OAU/AU IMEFANIKIWA: MEMBE
OAU/AU IMEFANIKIWA: MEMBE
Na Ally Kondo
Umoja wa Afrika (OAU/AU) umepata mafanikio makubwa tangu kuanzishwa kwake mjini Addis Ababa, Ethiopia tarehe 25 Mei, 1963.
Hayo yalisemwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb) katika sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja huo iliyofanyika katika Viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam tarehe 25 Mei, 2013.
Mhe. Membe alieleza kuwa, AU imefanikiwa kutimiza lengo la kuzikomboa nchi zote za Bara la Afrika isipokuwa Saharawi kutoka katika tawala za kikoloni. Alisema katika kufanikisha hilo, Tanzania imechangia kwa kiasi kikubwa kwani, Makao Makuu ya Ukombozi ya AU yalikuwa hapa nchini.
Kuhusu Demokrasia na Utawala Bora katika nchi za Afrika, Mhe. Waziri alisema kuwa AU imeweka utaratibu mzuri wa kuhakikisha kuwa wanachama wake wanaheshimu utawala wa sheria kwa kuweka sheria kali za kukomesha tabia ya kuingia madarakani kwa njia ya mapinduzi ya kijeshi. Sheria hizo ni pamoja na; nchi inayotawaliwa kijeshi kusimamishwa uanachama wa AU, kuwekewa vikwazo vya kiuchumi pamoja na Kiongozi wa Mapinduzi kutoruhusiwa kuwania nafasi ya Urais katika uchaguzi wa kidemokrasia.
Kutokana na msimamo huo, AU imefanikiwa kupunguza matukio ya mapinduzi katika nchi za Afrika tangu ilipoanzishwa. “Afrika imeshuhudia matukio ya mapinduzi matano katika kipindi cha miaka mitano iliyopita ukilinganisha na matukio 34 yaliyotokea kabla ya kipindi hicho”. Mhe. Membe alisikika akisema.
Katika kukabiliana na migogoro inayozuka mara kwa mara katika nchi za Afrika, alisema kuwa, AU imebadilisha kipengele ambacho kilikuwa kinakataza nchi za Afrika kuingilia masuala ya ndani ya nchi nyingine. Hivyo, kutokana na mabadiliko hayo nchi za Afrika sasa zinaweza kuingia katika nchi nyingine kulinda amani.
Kwa upande wa maendeleo ya kiuchumi, Mhe. Waziri alisema kuwa hatua kubwa imefikiwa, hususan kupitia Jumuiya za Kiuchumi za Kikanda, kama vile SADC, EAC na ECOWAS. Hata hivyo alibainisha kuwa, ukosefu wa miundombinu imara kama barabra na reli, kuunganisha Bara zima la Afrika ni kikwazo katika kufikia malengo ya kiuchumi kwa nchi nyingi za Afrika.
Sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika (OAU/AU) zilipambwa na shughuli mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuwasha mwenge wa AU, maandamano na burudani kutoka vikundi mbalimbali vya utamaduni. Aidha, sherehe hizo zilihudhuriwa na Mabalozi na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimatafa hapa nchini, wanafunzi na wananchi.
Maadhimisho ya miaka 50 ya OAU/AU yafana
"Brass Band" ikiongoza maandamano kutokea Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kuelekea Viwanja vya Karimjee kwa ajili ya kuadhimisha miaka 50 OAU/AU. |
Mhe. Membe akishiriki maandamano hayo. |
Mhe. Membe, Mabalozi, wananchi na wageni waalikwa wakiwa katika maandamano hayo kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika |
Picha zaidi za maandamano. |
Mhe. Membe akisikiliza Wimbo wa Taifa na AU zilizopigwa kuadhimisha miaka 50 ya umoja huo |
Picha zaidi wakati wa wimbo wa Taifa |
Mhe. Membe, Mabalozi, na Viongozi wengine wakiangalia burudani kutoka vikundi mbalimbali vya utamaduni vilivyopamba maadhimisho hayo |
Kikundi cha utamaduni kikitumbuiza. |
Kikundi kingine cha burudani kilichopamba sherehe hizo. |
Burudani ikiendelea. |
Matukio mbalimbali kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika (OAU/AU)
Mhe. Membe akiendelea na hotuba yake. |
Mabalozi wa nchi mbalimbali waliopo hapa nchini wakimsikiliza Mhe. Membe (hayupo pichani) |
Sehemu nyingine ya Mabalozi wakimsikiliza Mhe. Membe. |
Mabalozi na wageni waalikwa wakimsikiliza Mhe. Membe. |
Balozi Walidi Mangachi akiwasilisha mada kuhusu "Pan-Africanism and African Renaissance" wakati wa maadhimisho hayo huku Mhe. Membe, Mabalozi na Wageni waalikwa wakimsikiliza. |
Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Bi. Tonia Kandiero akiwasilisha mada kuhusu mchango wa benki hiyo katika maendeleo ya Afrika. |
Wageni waalikwa wakisikiliza mada mbalimbali zilizowasilishwa. |
Rais Kikwete awasili nchini Ethiopia kuhudhuria Sherehe za miaka 50 za Umoja wa Nchi za Afrika (AU)
Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Mama Salma Kikwete wakipata maelezo ya maandalizi ya sherehe hizo
kutoka kwa Mhe. Prof. Joram Biswaro, Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia mara
baada ya Rais Kikwete kuwasili leo mjini Addis Ababa. Rais Kikwete yupo nchini humo tayari
kuhudhuria Sherehe za kuadhimisha miaka 50 tangu kuanzishwa kwa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU) sasa ikijulikana kama (AU). Sherehe hizo zinafanyika rasmi leo ambapo
zitahudhuriwa na Marais wa Afrika. (Picha na Issa Michuzi wa Ikulu)
Friday, May 24, 2013
Congratulations to new Ambassadors!
H.E. President Jakaya Mrisho Kikwete, President of the United Republic of Tanzania exchanges views with Hon. Bernard K. Membe (MP), Minister for Foreign Affairs and International Co-operation, during the swearing in ceremony of the newly appointed Ambassadors Thursday May 23, 2013 at the State House in Dar es Salaam.
Mr. John M. Haule (right), Permanent Secretary in the Ministry of Foreign Affairs and International Co-operation exchanges views with Ambassador Rajabu Gamaha (center), Deputy Permanent Secretary in the Ministry of Foreign Affairs and Ambassador Dora Msechu (left), Director of the Department of Europe and Americas in the Ministry.
Chief of Protocol Ambassador Maharage Mohammed Juma (center) explains something to Ambassador Rajabu Gamaha, Deputy Permanent Secretary and Ambassador Mbarouk Nassor Mbarouk, newly appointed Ambassador of the United Republic of Tanzania to the United Arab Emirates (UAE). Also in the photo is Ambassador Naimi Aziz (behind right), Director of the Department of Regional Cooperation in the Ministry of Foreign Affairs.
Ambassador Dora Msechu (standing) shares a candid moment with Chief of Protocol Ambassador Maharage Mohammed Juma (left) and Ambassador Mbarouk Nassor Mbarouk, newly appointed Ambassador of the United Republic of Tanzania to the United Arab Emirates (UAE).
Ambassador Bertha Semi-Somi (left), Director of the Department of Diaspora in the Ministry of Foreign Affairs in a photo with Ambassador Mbelwa Kairuki (2nd right), Director of the Department of Asia and Australasia in the Ministry. Also in the photo are Mr. Omary Mjenga (right) and Mr. Togolani Mavura (2nd left), Private Assistant to Hon. Minister Membe.
Ambassador Dora Msechu (left) shares laughters with Dr. Hamisi Mwinyimvua, Personal Assistant and Economic Adviser to President Kikwete (right) and Ambassador Naimi Aziz, Director of the Department of Regional Cooperation in the Ministry of Foreign Affairs.
Permanent Secretary Mr. John M. Haule shares a laughter with Mr. Togolani Mavura, Private Assistant to Hon. Membe and Mr. Thobias Makoba, Assistant Private Secretary to Hon. Membe.
President Jakaya Mrisho Kikwete congratulates Ambassador Modest Jonathan Mero, newly appointed Permanent Representative of the United Republic of Tanzania to the United Nations in Geneva.
Hon. Minister Membe congratulates Judge Aloycius Mujuluzi, new Chairman of the Law Reforms Commission.
President Kikwete shares a light moment with a lovely daughter of Ambassador Mbarouk Nassor Mbarouk, newly appointed Ambassador of the United Republic of Tanzania to the United Arab Emirates (UAE).
President Kikwete (front-center) in a group photo with the family of Ambassador of Modest Jonathan Mero (2nd left-front), newly appointed Permanent Representative of the United Republic of Tanzania to the United Nations in Geneva.
President Kikwete (3rd left, 2nd roll) in a group photo with a family of Ambassador Mbarouk Nassor Mbarouk (2nd left, 2nd roll), newly appointed Ambassador of the United Republic of Tanzania to the United Arab Emirates (UAE).
President Kikwete (center) in a group photo with Ambassador Wilson M. K. Masilingi, the newly appointed Ambassador of the United Republic of Tanzania to Netherlands and his lovely wife.
President Kikwete in a group photo with the family of Judge Aloycius Mujuluzi (right), Chairman of the Law Reforms Commission.
President Kikwete (2nd right - front
roll) in a group photo with the family of Ambassador Liberata Mulamula (2nd
left - front roll), the new Ambassador of the United Republic of
Tanzania to the United States of America, stationed in Washington
D.C.
President Kikwete (2nd left- front
roll), in a group photo with the family of Ambassador Chabaka
Faraji Ali Kilumanga, newly sworn in Ambassador of the United Republic of
Tanzania to Comoro.
Ambassador Liberata Mulamula(4th left), who is the new Ambassador of the United Republic of Tanzania to the United States of America, stationed in Washington D.C. in a memorable photo with her colleagues that include Ambassador Mbelwa Kairuki (2nd left), Director of the Department of Asia and Australasia in the Ministry of Foreign Affairs and former speechwriter to President Kikwete. Also in the photo are Mr. Salva Rweyemamu (right), Director of the Directorate of Presidential Communications, Mr. Issa Michuzi (left), Press Secretary to President Kikwete and Mr. Freddy Maro (3rd right- back roll), Photographer to President Kikwete.
All photos by Tagie Daisy Mwakawago
President Kikwete meets with Finland Delegation
H.E. President Jakaya Mrisho Kikwete (right), President of the
United Republic of Tanzania Thursday (May 23, 2013) met with Hon. Dr. Alexander Stubb, Minister for European Affairs and Foreign
Trade at the State House in Dar es Salaam.
President Kikwete (center) in a group
photo with Hon. Dr. Alexander Stubb (left) and Hon.
Heidi Hautala (right), Minister for International Development,
prior to the beginning of their discussion that highlighted the current mobile connection industry that has become a big demand for farmers in the country, including the alternative ways of using land such as forestry farming.
H.E. President Kikwete in discussion with Hon. Dr. Alexander
Stubb (2nd right), Minister for European Affairs and Foreign Trade,
Hon. Heidi Hautala (2nd left), Minister for International Development
and H.E. Sinikka Antilla (left), Ambassador of Finland in the United
Republic of Tanzania.
Hon. Bernard K. Membe (MP) (left), Minister for Foreign Affairs and International Co-operation and Ambassador Dora Msechu, Director of the Department of Europe and Americas listening to President Kikwete discussion with delegation from Finland.
|
Finland delegation that consisted of top businessmen in talks with President Kikwete (not in the photo) at the State House in Dar es Salaam. The businessmen discussed with President Kikwete the need to mobilize farmers through KILIMO KWANZA program by facilitating them with communication technological devices that are affordable and useful in transmitting useful agricultural information among them. The businessmen had recently signed a joint-venture deal with Vodacom aim at providing affordable mobile phones as a way of enhancing communication among farmers in rural areas.
Hon. Bernard K. Membe (MP) (left), Minister for Foreign Affairs and International Co-operation and Ambassador Dora Msechu (2nd left), Director of the Department of Europe and Americas in the Ministry, listening to President Kikwete discussion with his guests at the State House. President Kikwete further discussed telecommunication sector and the need to have more investors that can help build more infrastructures in rural areas to help economy grow in the country. Others in the photo are Mr. Lumbila Fyataga (3rd left), Deputy Private Secretary to the President, Dr. Hamisi Mwinyimvua, Personal Assistant and Economic Adviser to the President, Ms. Upendo Mwasha (right - back roll), Foreign Service Officer in the Ministry and Mr. Thobias Makoba, Assistant Private Secretary to Minister Membe.
H.E. President Kikwete (2nd left - front roll), in a group photo with Hon. Dr. Alexander Stubb (left - front roll), Minister for European Affairs and
Foreign Trade, Hon. Heidi Hautala (2nd right - front roll), Minister for International Development and other top businessmen from Finland.
All photos by Tagie Daisy Mwakawago
Subscribe to:
Posts (Atom)