Tuesday, June 30, 2015
BALOZI WA TANZANIA NCHINI KENYA AKUTANA NA RAIS DK.SHEIN LEO
Friday, June 26, 2015
Rais Kikwete atumia fursa ya maadhimisho ya Miaka miwili ya Papa Francis kuwa madarakani kuwaaga Maaskofu
Rais Kikwete akiendelea kuhutubia huku Waziri Membe na Askofu Padilla (Kushoto) wakifuatilia kwa makini hotuba hiyo. |
Balozi wa Vatican Askofu Padilla naye akitoa hotuba yake katika maadhimisho hayo. |
Waziri Membe (Katikati) akimtambulisha Kaimu Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zuber Bin Ally kwa Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. Dianna Melrose |
Rais Kikwete (Wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Kamilius Membe (Wa kwanza kulia), Balozi wa Vatican nchini Askofu Padilla (Wa kwanza Kushoto) na Kaimu Mkuu Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zuber Bin Ally |
Rais Kikwete akiagana na Maaskofu mara baada ya kumalizika kwa maadhimisho hiyo |
Waziri Membe (Kushoto) akizungumza jambo na Balozi Askofu Padilla |
Waziri Membe naye akiagana na Maaskofu mara baada ya kumalizika kwa Maadhimisho hayo.
Picha na Reginald Philip
|
Wednesday, June 24, 2015
Katibu Mkuu Balozi Mulamula, Balozi Manongi na Balozi Gamaha wang'ara Nishani za Utumishi
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Liberata Mulamula
Nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Kwanza. Hafla hiyo ilifanyika IKULU, Dar es Salaam tarehe 23 Juni, 2015
|
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza baada ya kumvisha Nishani
ya Jamhuri ya Muungano Daraja la kwanza Balozi Liberata Mulamula
|
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Balozi Tuvako Nathaniel Manongi
Nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Kwanza.
|
Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipeana mkono na Mhe. Tuvako Nathaniel Manongi
baada ya kumtunuku Nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Kwanza
|
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimvisha Nishani
ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Pili, Balozi wa Tanzania nchini Burundi Balozi Rajab Hassan Gamaha.
|
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza baada ya kumvisha Nishani
ya Jamhuri ya Muungano Daraja la Pili Balozi Rajabu Hassan Gamaha
|
Wakuu wa Vyombo vya Usalama Nchini nao wakishuhudia utolewaji wa nishani za Jamhuri ya Muungano |
Mabalozi mbalimbali wanao ziwakilisha nchini zao nao wkiwemo katika ukumbi kwakushuhudia utolewaji wa Nishani hizo |
Kikundi cha Bendi ya Polisi kikitoa burudani kwa wageni waalikwa wakati wa utolewaji wa nishani |
Kaimu Mkurugenzi Chuo cha Diplomasia Dkt. Bernard Archiula (kushoto) akifuatilia kwa makini utolewaji wa nishani. |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho kikwete akiwa amesimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa mara baada ya kumaliza utoaji wa Nishani. |
Watunukiwa Nishani, Wakuu wa vyombo vya Usalama na wageni waalikwa wote wakiwa wamesimama kwa pamoja wakiimba wimbo wa Taifa |
Balozi Mulamula akipongezwa na Dkt. Salim Ahmedi Salim kwa kutunukiwa Nishani ya Jamhuri ya Muungano Daraja la kwanza |
Rais mstaafu wa Awamu ya Pili, Mhe. Ali Hassan Mwinyi akimpongeza Balozi Mulamula kwa kupokea Nishani ya Jamhuri ya muungano Daraja la kwanza. |
Rais Mstaafu Mwinyi akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi Mulamula pamoja na ndugu waliokuja kumsindikiza wakati wa upokeaji wa Nishani |
Balozi Mulamula (Wa pili kulia), Balozi Manongi wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi waandamizi wa vyombo vya usalama nchini. |
Balozi Mulamula (Wa tatu kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Katibu Mkuu wake Balozi Simba Yahya (Wa pili kushoto), Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia, Balozi Mbelwa Kairuki (Wa kwanza kushoto mstari wa nyuma), Mkurugenzi Idara ya Ugavi Bw. Lucas Suka (Wa kwanza kulia mstari wa nyuma), Mhasibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje, Bw. Paul Kabale (Wa kwanza kulia), Kaimu Mkurugenzi Idara ya Utawala, Bi. Glory Mboya (Wa kwanza kushoto) na Mkurugenzi Msaidizi, Bi. Amisa Mwakawago (Wa pili kutoka kulia). |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi,
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue na Jaji Mkuu Mhe. Mohamed Chande
Othman wakiwa katika picha ya pamoja na watunukiwa wa nishani za Jamhuri ya
Muungano Daraja la Kwanza, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula (wa pili kulia), Mwakilishi wa Kudumu wa
Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa Balozi Tuvako Manongi (Kushoto), Mkuu wa Mkoa
wa Mbeya, Mhe. Abbas Kandoro (Wa tatu kulia)
|
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassa Mwinyi,
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Jaji Mkuu, Mhe. Mohamed Chande
Othman wakiwa katika picha ya pamoja na watunukiwa wa nishani za Jamhuri ya
Muungano daraja la kwanza, Utumishi wa muda mrefu na maadili mema Daraja la
Kwanza na Utumishi wa muda mrefu na maadili mema Daraja la Pili na Ushupavu
Jumanne Juni 23, 2015 katika ukumbi mpya wa mikutano wa Ikulu Jijini Dar es
Salaam.
Picha na Reginald Philip
|
Subscribe to:
Posts (Atom)