Balozi Mulamula akutana kwa mazungumzo na Balozi wa Denmark nchini
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula (kulia) akizungumza na Balozi wa Denmark nchini, Mhe. Johnny Flento alipokuja kumtembelea na kufanya mazungumzo yaliyojikita katika kuboresha mahusiano baina ya Tanzania na Denmark.
Balozi Flento akizungumza huku Balozi Mulamula akimsikiliza.
Mazungumzo yakiendelea huku Afisa Mambo ya Nje, Bi. Tunsume Mwangolombe akinukuu.
Picha na Reginald Philip
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.