Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akizungumza na Balozi wa Msumbiji nchini, Mhe. Vicente Veloso alipofika Wizarani kwa ajili ya kuzungumza na Balozi Mulamula kuhusu namna bora ya kuiamarisha ushirikiano baina ya Tanzania na Msumbiji na pia kumpongeza kwa kuteuliwa na Rais kuwa Katibu Mkuu. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.