Thursday, May 26, 2016
Tuesday, May 24, 2016
Press Release
PRESS
RELEASE
JOB
OPPORTUNITY AT ITU HEADQUARTERS-GENEVA
The Ministry of Foreign
Affairs and East African Cooperation has received vacancy announcement from the
International Telecommunication Union (ITU) inviting qualified Tanzanians to
apply for the post of Web Developer.
Application details can be
found on ITU website: http://www.itu.int/employment/Recruitment/index.html
Closing date for application is 20th June, 2016.
“The Ministry encourages
qualified Tanzanians to apply”.
Issued by: The Ministry of Foreign Affairs and East
African Cooperation, Dar es Salaam.
24th May, 2016
Waziri Mahiga akutana kwa mazungumzo na Waziri wa Mipango wa Korea Kusini
Ujumbe ulioambatana na Mhe. Balozi Paik Ji-ah nao wakifuatilia kwa makini mazungumzo kati ya Dkt. Mahiga na Balozi Ji-ah. Kulia ni Balozi wa Korea Kusini nchini, Mhe. Song Geum-young. |
Balozi Ji-ah akiendelea kuelezea jambo huku Waziri Mahiga akimsikiliza kwa makini. |
Balozi wa Korea Kusini nchini, Mhe. Song Geum-young (kulia) akichangia jambo katika mazungumzo kati ya Waziri Mahiga na Naibu Balozi Mhe. Paik Ji-ah kushoto ni Afisa kutoka Ubalozi wa Korea Kusini |
Mazungumzo yakiendelea. |
Waziri Mahiga akiagana na mgeni wake Balozi Paik Ji-ah mara baada ya kumaliza mazungumzo yao. |
Dkt. Mahiga akiagana na Balozi Geum-young. |
Dkt. Mahiga na wageni wake wakiwa katika picha ya pamoja.
Picha na Reginald Philip
|
Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia akutana na Balozi wa China nchini
Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbelwa Kairuki akizungumza na Balozi wa China nchini Mhe. Lu Youqing, alipomtembelea leo katika ofisi za Wizara na kuzungumza naye juu ya kuendelea kuimrisha ushirikiano ili kukuza fursa za kiuchumi zilizopo hususan katika kuboresha miundombinu na kuiwezesha Tanzania kuwa nchi ya viwanda sambamba na kuinua maisha ya wananchi
Maafisa kutoka Ubalozi wa China walioambatana na Mhe. Lu Youqing wakifuatilia mazungumzo
Mazungumzo yakiendelea
Wanafunzi kutoka Chuo cha Kijeshi cha India watembelea Wizara ya Mambo ya Nje
Afisa Mwandamizi wa Idara ya Asia na Australasia katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bw. Emmanuel Luangisa akiongoea na wanafunzi kutoka Chuo cha Ukamanda na Unadhimu wa Jeshi nchini India (hawapo pichani) ambao jana walitembelea katika Ofisi za Wizara Jijini Dare es Salaam kwa lengo la kujifunza masuala mbalimbali kuhusu Sera ya Mambo ya Nje. Kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Maji nchini India, Admiral D. M. Sudan.Wanajeshi hao watakuwa na ziara ya siku tano nchini Tanzania ambayo inatarajiwa kukamilika tarehe 26 Mei, 2016.
Sehemu ya wanajeshi wakifuatilia na kuchangia mazungumzo
Sehemu nyingine ya wanajeshi hao wakifuatilia taarifa iliyokuwa ikiwasilishwa na Bw. Luangisa
Monday, May 23, 2016
Utaratibu wa matumizi ya Wimbo na Bendera ya Afrika Mashariki
TAARIFA
KWA UMMA
Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kutoa utaratibu wa matumizi ya Bendera
na Wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
kama ilivyotangazwa hivi karibuni.
Utaratibu huo ni kwamba Bendera ya Taifa itaanza kupeperushwa
ikifuatiwa na Bendera ya Jumuiya ya
Afrika Mashariki, vivyo hivyo Wimbo wa Taifa utaanza kupigwa ukifuatiwa na Wimbo
wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Itakumbukwa kuwa hivi karibuni,
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ilitatangaza kuhusu
matumizi ya Bendera na Wimbo wa Jumuiya
ya Afrika Mashariki katika Wizara, Idara, Mashirika na Taasisi mbalimbali za
Serikali pamoja na Taasisi Binafsi.
Wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
unapatikana katika tovuti ya Wizara ambayo ni www.foreign.go.tz.
Aidha, kwa mujibu wa Sekretarieti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki vipimo maalum vya
kutengeneza Bendera hiyo ni kama vinavyoonekana hapa chini.
Imetolewa na,
Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali,
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Dar es Salaam, 23 Mei, 2016.
Balozi wa Kuwait atembelea Wizara ya Mambo ya Nje.
Friday, May 20, 2016
Balozi wa Tanzania nchini Kuwait akutana na Balozi wa Chad nchini humo
===============================================
Maadhimisho ya Siku ya Afrika huvuta hadhira ya viongozi mbalimbali wa Serikali, waandishi wa habari, mifuko ya fedha na uwekezaji na taasisi zinazojihusisha na masuala ya kibinadamu na hutumiwa na Mabalozi wa nchi za Afrika waliopo Kuwait kama jukwaa la kutangaza fursa za uwekezaji, biashara na vivutio mbalimbali vya utalii vilivyopo.
Mtanzania achaguliwa Katibu Mkuu Jumuiya ya Sheria ya Afrika na Asia
Subscribe to:
Posts (Atom)