| Balozi Gamaha akiendelea na mazungumzo na wageni wake. |
| Balozi Gamaha akimsikiliza Balozi Azevedo wakati wa mazungumzo yao. |
| Balozi Gamaha akifafanua jambo kwa Balozi Azevedo wakati wa mazungumzo yao |
| Mhe. Fransisco Carlos Luz (wa kwanza kulia), Balozi wa Brazil hapa nchini pamoja na wajumbe wengine kutoka Brazil wakimsikiliza Balozi Gamaha (hayupo pichani) alipozungumza nao |
| Wajumbe wote kwa pamoja wakimsikiliza Balozi Gamaha. |
| Balozi Gamaha akiagana na Balozi Azevedo mara baada ya mazungumzo yao. |
| Picha ya pamoja. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.