Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) wa tatu kutoka kushoto waliosimama) kwa pamoja na viongozi wengine akiwemo Rais wa Rwanda, Mhe. Paul Kagame, Waziri Mkuu wa China, Mhe. Li Keqiang, Rais wa Kenya, Mhe. Uhuru Kenyatta, Rais wa Uganda, Mhe. Yoweri Museveni na Rais wa Sudan Kusini, Mhe. Salva Kiir wakishuhudia kusainiwa kwa Mkataba wa Ujenzi wa Reli ya kisasa Afrika Mashariki kati ya Serikali ya Kenya na China. Mhe. Membe alimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.