Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia, Balozi Mbelwa Kairuki akitoa mada kuhusu Sera ya Mambo ya Nje na Uhusiano kati ya nchi na nchi hususan uhusiano wa nchi za Asia na Tanzania katika semina kwa Wanafunzi wa Chuo cha Diplomasia (CFR) wanaofanya mafunzo kwa vitendo Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.