Bw. Kaganda,
akiwasilisha mada kuhusu ushiriki wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika
Umoja wa Mataifa, ikiwa ni pamoja na vipaumbele vya nchi katika vyombo, kamati,
kamisheni, bodi na mikutano ya nchi wanachama wa mikataba mbalimbali ya Umoja
wa Mataifa. Programu ya NMUN inatoa fursa kwa wanafunzi wa vyuo zaidi ya 5000
kutoka pembe zote za dunia kuvaa kofia za Nchi Wanachama wa Umoja wa Mataifa na
kujadili changamoto mbalimbali zinazoikabili dunia, ikiwemo migogoro, mabadiliko
ya tabianchi, maafa, janga la umaskini, magonjwa ya kuambukiza na
yasiyoambukiza na usawa na uwiano sawa wa kijinsia. Mafunzo haya kwa vitendo
yanawajengea uelewa wa shughuli za Umoja wa Mataifa na kuwapatia kionjo cha shughuli za
kidiplomasia. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.