Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba John Kabudi (Mb.), akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Mabohora, Zainuddin Adamjee,katika ofisi ndogo za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Jijini Dar es Salaam tarehe 18 Mei, 2019. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.