| Watoa mada na wachangiaji wakiwa kwenye warsha hiyo iliyojadili kwa kina masuala ya mila na tamaduni zinavyoweza kuchangia uchumi wa nchi za Afrika Mashariki |
| Sehemu ya washiriki wa warsha |
| Washiriki wakifuatilia mada zilizowasilishwa kwenye warsha hiyo |
| Sehemu nyingine ya washiriki |
| Wanafunzi nao wakishriki warsha hiyo iliyojadili masuala kuhusu Utamaduni |
| Washiriki wa maonesho ya bidhaa mbalimbali za utamaduni wakiwa kwenye mabanda yao wakati wa Tamasha la JAMAFEST 2019 |
| Sanaa za Utamaduni kama zinavyoonekana kwenye Tamasha la JAMAFEST |
| Vinyago katika banda mojawapo la Tanzania |
| Sanaa za maonesho kama zinavyoonekana |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.