Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) kwa pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa India, Mhe. Preneet Kaur wakisaini Makubaliano ya Pamoja ya Mkutano wa 8 wa Tume ya Pamoja ya Kudumu ya Ushirikiano (Joint Permanent Commission-JPC) kati ya Tanzania na India mara baada ya mkutano huo kumalizika tarehe 09 Julai, 2013.Wengine wanaoshuhudia ni Balozi wa Tanzania nchini India, Mhe. John Kijazi (wa kwanza kulia waliosimama nyuma ya Mhe. Membe) akifuatiwa na Bw. Omar Mjenga, Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia na Balozi wa India hapa nchini, Mhe.Debnath Shaw (wa kwanza kushoto) |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.