Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akimkaribisha Ikulu Rais wa Afrika Kusini, Mhe. Jacob Zuma alipofika kwa ajili ya mazungumzo rasmi. Mhe. Zuma amehitimisha ziara ya kikazi ya siku mbili tarehe 22 Desemba, 2014 baada ya kufanya mazungumzo na Rais Kikwete. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.