Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb) akisoma Hotuba ya Bajeti ya Wizara yake Bungeni mjini Dodoma jana tarehe 29 Mei 2015. |
Wageni waalikwa akiwemo Mke wa Waziri Membe, Mama Dorcas Membe (wa pili kushoto) wakiwa katika ukumbi wa Bunge wakifuatilia hotuba ya bajeti iliyokuwa ikiwasilishwa na Waziri Membe. |
Waheshimiwa Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali duniani nao wakifuatilia hotuba ya bajeti. |
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), Bw. Elishilia Kaaya na wageni wengine nao wakifuatilia Hotuba ya Bajeti ya Mambo ya Nje ilipowasilishwa Bungeni |
Ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa uliaoambatana na Mhe. Waziri Membe ukifuatilia hotuba ya Wizara Bungeni. |
Sehemu nyingine ya Ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakiwemo Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali duniani wakifuatilia hotuba ya bajet ya Wizara. |
Wageni wa Mhe. Membe nao wakifuatilia Hotuba |
Ujumbe wa Mabalozi wanao wanaowakilisha nchi zao hapa nchini wakiongozwa na Mkuu wa Mabalozi ambaye pia ni Balozi wa DRC, Mhe. Juma Alfan Mpango (kushoto) wakifuatilia hotuba ya Mhe. Membe |
Mama Membe (wa pili kushoto) pamoja na Balozi wa Malawi hapa nchini, Mhe.Hawa Ndilowe (wa pili kulia) na wageni wengine wakisikiliza hotuba ya bajeti ya Waziri Membe |
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Cha Diplomasia wakisikiliza Hotuba ya Bajeti iliyokuwa inawasilishwa na Waziri Membe, wakiongozwa na Mwalimu wao Bw. Jambo |
Mbunge Dkt. Hamisi Kigwangala akimpongeza Waziri Membe baada ya Bunge kupitisha Bajeti wa Wizara yake |
Mbunge wa Maswa Magharibi, Mhe. John Magale Shibuda akisalimiana na Afisa Habari wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa pamoja na Reuben Mchome katika Viwanja vya Bunge |
Waziri Membe akihojiwa na Paschal Mayala Mkuu wa Kampuni ya PPR kuhusu mipango ya Wizara katika mwaka wa fedha ujao 2015/2016 |
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Membe (wanne kutoka kulia) akiwa katika Picha ya Pamoja na wananchi wa Jimbo la Mtama
Picha na Reginald Philip
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.