![]() |
| Mkutano ukiendelea |
![]() |
| Mhe. Membe akiwa na Katibu Mkuu, Balozi Mulamula pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Mhe. John Haule (wa pili kulia) na Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, Mhe. Philip Marmo |
![]() |
| Balozi wa Tanzania nchini Burundi, Mhe. Rajabu Gamaha akichangia wakati wa majadiliano ya mada mbalimbali zilizowasilishwa |
![]() |
| Mkurugenzi wa Idara ya Mambo ya Nje Zanzibar, Balozi Silima akizungumza wakati wa majadiliano kwenye mkutano wa nne wa mabalozi. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Uswisi, Mhe. Modest Mero |
![]() |
| Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bi. Zuhura Bundala akichangia katika mjadala kuhusu kanda ya Afrika |
![]() |
| Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia, Balozi Mbelwa Kairuki akizungumza wakati wa kuchangia mada kuhusu Kanda ya Asia na Australasia. |
![]() |
| Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Mhe. Begum Taj naye akichangia hoja |
![]() |
| Sehemu ya Sekretarieti wakinukuu mazungumzo wakati we mkutano wanne wa Mabalozi |
![]() |
| Balozi wa Tanzania nchini Malaysia, Mhe. Aziz Ponary Mlima akichangia mada huku Balozi Cheche na Balozi Mbarouk |
| Mkutano ukiendelea Picha na Reginald Philip |














No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.