| Balozi Sebregondi akifurahia picha hiyo huku Mabalozi na Wageni waalikwa nao wakichukua picha za ukumbusho wa tukio hilo |
| Balozi Mulamula akitoa neno la shukrani kwa Balozi Sebregond, kwa niaba ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakati wa hafla hiyo |
| Sehemu ya Wageni waalikwa wakimsikiliza kwa makini wakati Balozi Mulamula (hayupo pichani) alipokuwa akitoa neno la shukrani |
| Balozi Mulamula akiendelea kuzungumza katika hafla hiyo |
| Maafisa Mambo ya Nje nao wakisikiliza kwa makini wakati Balozi Sebregondi (hayupo pichani) akizungumza. |
| Balozi Mulamula na Balozi Sebregondi wakitakiana afya njema |
| Wageni waalikwa nao wakitakiana afya njema |
| Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bi. Mindi Kasiga akizungumza katika hafla ya kumuaga Balozi Sebregondi (hayupo pichani). |
| Balozi Liberata Mulamula akiwa katika picha ya pamoja na Balozi anayewakilisha Umoja wa Ulaya hapa nchini Mhe. Filiberto Sebregondi |
| Picha ya pamoja. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.