Katibu Mkuu Wizara ya
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Aziz P. Mlima (katikati)
akizungumza na Bwana Samuel Akorimo, Mkuu wa Ofisi ya
Arusha kutoka Mahakama ya Umoja wa Mataifa (UNMICT)
iliyopo Arusha walipomtembelea Wizarani kwa lengo la kushukuru kwa mchango wa Serikali na
Wizara kufanikisha ujenzi na uzinduzi wa Majengo ya Umoja wa Mataifa Jijini
Arusha, eneo la Lakilaki. Wengine katika picha ni Balozi Baraka Luvanda,
Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria (kulia) na Bi.Bi Blandina Kasagama, Afisa Mambo ya Nje. Kushoto ni Bw. Samwel Algozin Afisa Sheria Mkuu kutoka (UNMICT)
Katibu Mkuu, Balozi Mlima na Ujumbe kutoka UNMICT wakiwa katika picha ya pamoja baada
ya kikao
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.