Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Aziz Mlima akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mamlaka ya Mapato (TRA) katika kituo cha Holili na Mkuu wa Uhamiaji kwenye kituo hicho (kulia). Balozi Mlima yupo Mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya kukagua Vituo vya Kutoa Huduma kwa Pamoja Mipakani. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.