Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan Kolimba (Mb) akizungumza na Balozi wa Italia nchini, Mhe. Roberto Mengoni alipomtembelea leo Wizarani Jijini Dar es Salaam. Mazungumzo yao yalijikita katika masuala ya ushirikiano wa kidiplomasia baina ya mataifa hayo mawili na hali halisi ya maendeleo katika sekta ya Elimu, Afya na Ujenzi wa Miundombinu. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.