Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akizungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini, Dkt. Inmi K. Patterson, alipokutana naye Wizarani Jijini, Dar es Salaam, tarehe 29 Juni, 2017. Mazungumzo yao yalijikita katika masuala ya ushirikiano ambapo wameahidi kuendeleza ushirikiano katika sekta za maendeleo kwa lengo la kukuza uchumi ili kuendana na kasi ya utendaji wa Serikali zao. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.