Mheshimiwa Adam Kimbisa akisalimiana na Mheshimiwa Dkt. Mahiga wakati wa Semina hiyo ya siku mbili iliyofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere tarehe 19-20 Januari, 2018. |
Mheshimiwa Pamela Maasay akijitambulisha wakati wa Semina elekezi ya Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki. |
Mheshimiwa Dkt. Ngwaru Maghembe akijitambulisha wakati wa Semina elekezi ya Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki |
Mheshimiwa Mhandisi Mohamed Habib Mnyaa akijitambulisha wakati wa Semina elekezi ya Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki |
Bw. Stephen Mbundi, Mkurugenzi wa Idara ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Wizara akichangia mada wakati wa Semina Elekezi ya Wabunge wa Bunge la nne la Afrika Mashariki. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.