Bw. Kim akimuelezea Mheshimiwa Waziri Mahiga na ujumbe wake kwa kifupi kuhusu kazi za KCCI kabla ya kufungua Kongamano la Kwanza la Biashara kati ya Tanzania na Korea Kusini. |
Watanzania wanaoishi nchini Korea wakiwa kwenye mashati maalum ya kutangaza Kongamano ambao pia walikua wakitoa huduma mbalimbali wakati Kongamano likiendelea. |
Pichani juu na chini Mheshimiwa Waziri Mahiga akiagana na Watanzania walioshiriki kwenye Kongamano hilo baada ya kukamilisha awamu ya kwanza ya majadiliano. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.