Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na UShirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Damas Ndumbaro akihutubia wakati wa hafla ya kuadhimisha siku ya Taifa la Hispania iliyofanyika jijini Dar es Salaam hivi. Katika hotuba yake Mhe. Naibu Waziri ambaye alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo alisisitiza umuhimu wa ushirikiano wa kihistoria uliopo kati ya Tanzania na Uhispania. Hafla hiyo ilihudhuriwa na Mabalozi na wageni mbalimbali. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.