Mjumbe
wa Baraza la Taifa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamuhuri ya Watu wa China, mhe.
Wangi Yi ameendelea na ziara yake leo kwa kutembelea eneo la Mwalo wa Chato na kukutana
na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli pamoja
na kuongea na vyombo vya Habari vya nchini akiwa yeye na mwenyeji wake, Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John
Kabudi, (Mb).
Awali,
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametoa wito
kwa Watanzania kutumia uwepo wa soko la China katika kupeleka mazao ya kilimo
yaliyoongezwa thamani.
Ametoa
wito huo wilayani Chato wakati akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa China
Wang Yi aliyepo nchini kwa ziara ya kikazi ambapo Rais Magufuli ameiomba
serikali ya China kutumia ushirikiano na Tanzania kununua mazao ya kilimo hapa
nchini.
|
Mjumbe wa Baraza la Taifa
na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamuhuri ya Watu wa China, mhe. Wangi Yi akiangalia jinsi bondo la samaki linavyotolewa na mmoja kati ya wavuvi wanaojishughulisha na shughuli za uvuvi katika Mwalo wa Chato mkoani Geita
|
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mjumbe wa Baraza la Taifa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamuhuri ya Watu wa China, mhe. Wangi Yi wakati alipokuwa anaongea na waandishi wa Habari - Chato mkoani Geita
|
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi moja kati ya zawadi Mjumbe wa Baraza la Taifa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamuhuri ya Watu wa China, mhe. Wangi Yi
| Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mjumbe wa Baraza la Taifa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamuhuri ya Watu wa China, mhe. Wangi Yi, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi pamoja na baadhi ya Mawaziri wakiongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb)
| Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya
pamoja na Mjumbe wa Baraza la Taifa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamuhuri
ya Watu wa China, mhe. Wangi Yi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki, Prof. Kabudi, Balozi wa China Nchini Tanzania, Mhe. Wang Ke pamoja
na Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali | Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Kabudi, (Mb) akiongea na
Waandishi wa Habari (hawapo pichani)- Chato mkoani Geita | |
|
|
|
|
|
Mjumbe
wa Baraza la Taifa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamuhuri ya Watu wa China, mhe.
Wangi Yi akiongea na
Waandishi wa Habari (hawapo pichani) - Chato mkoani Geita |
|
Mjumbe wa
Baraza la Taifa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamuhuri ya Watu wa China, mhe.
Wangi Yi akiwaaga viongozi mbalimbali katika uwanja wa ndege wa Geita - Chato
muda mfupi kabla ya kuondoka kwake |
|
Mawaziri wakiongozwa na Prof. Kabudi wakimuaga Mjumbe
wa Baraza la Taifa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamuhuri ya Watu wa China, mhe.
Wangi Yi katika uwanja wa ndege wa Geita - Chato |
|
Ndege aliyokuja nayo Mjumbe wa Baraza la Taifa
na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamuhuri ya Watu wa China, mhe. Wangi Yi ikiondoka |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.