Rais
wa Jamhuri ya Msumbiji Mheshimiwa Filipe Nyusi amekutana na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein
Ali Mwinyi Ikulu Zanzibar
Akizungumza na Dkt. Mwinyi Mheshimiwa
Nyusi alitumia nafasi hiyo kumuaga kwa kuwa amemaliza kipindi chake cha
uongozi nchini Msumbiji na kumshukuru kwa Ushirikiano aliompatia
alipokuwa Waziri wa Ulinzi wa Tanzania.
Amemuahidi kuwa Msumbiji
itaendelea kudumisha uhusiano na ushirikiano wake na Tanzania haşa
ikizingatiwa historia ya uhusiano uliopo kati ya Tanzania na Msumbiji
Naye Mhe. Dkt. Mwinyi amemshukuru Mhe. Nyusi kwa kumtembelea Zanzibar na kumkaribisha kutembelea Zanzibar wakati mwingine.
Mheshimiwa Nyusi alikuwa nchini kwa ziara ya kitaifa kuanzia tarehe Mosi Julai 2024
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein
Ali Mwinyi akimpokea Rais
wa Jamhuri ya Msumbiji Mheshimiwa Filipe Nyusi alipowasili Ikulu Zanzibar |
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein
Ali Mwinyi akisalimiana na Rais
wa Jamhuri ya Msumbiji Mheshimiwa Filipe Nyusi alipowasili Ikulu Zanzibar Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein
Ali Mwinyi akiwa na Rais
wa Jamhuri ya Msumbiji Mheshimiwa Filipe Nyusi alipowasili Ikulu Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mheshimiwa Filipe Nyusi alipomtembelea Ikulu Zanzibar |
Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mheshimiwa Filipe Nyusi akizungumza alipomtembelea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) Ikulu Zanzibar |
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Picha Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mheshimiwa Filipe Nyusi alipomtembelea Ikulu Zanzibar |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.