Mhe. Membe akijibu hoja mbalimbali za Wabunge kuhusu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. |
Mhe. Maalim akitoa ufafanuzi kwa baadhi ya hoja zilizotolewa na Wabunge kuhusu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa |
Waziri Kivuli wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Ezekiel Wenje (Mb.) akiwasilisha Bungeni Hotuba ya Kambi ya Upinzani kuhusu Wizara hiyo. |
Picha zaidi za Wakuu wa Idara kutoka Wizarani na Taasisi za Wizara. |
Wakuu wa Idara wakifuatilia kwa makini majibu ya hoja Bungeni |
Katibu Mkuu, Bw. John Haule (kulia), Naibu Katibu Mkuu, Balozi Rajabu Gamaha (katikati) na Mkurugenzi wa Idara ya Afrika wakiwa Bungeni |
Mhe. Sitta akimpongeza Mhe. Membe mara baada ya Bajeti yake kupitishwa na Bunge. |
Baadhi ya Wananchi kutoka Jimbo la Mtama, Mkoani Lindi waliofika Bungeni kumuunga mkono Mbunge wao Mhe. Membe. |
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mhagama akitoka ndani ya Ukumbi wa Bunge mara baada ya kuahirisha kikao. |
|
|
Wakurugenzi wa Wizara wakimpongeza Mhe. Membe. |
Mhe. Membe na Mhe. Maalim wakiwa katika picha ya pamoja na Watendaji wa Wizara na Taasisi mara baada ya Bajeti ya Wizara kupitishwa na Bunge. |
Wananchi kutoka Jimbo la Mtama wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Membe. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.