Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiongozana na Mfalme Mswati III wa Swaziland mara baada ya kumpokea alipowasili nchini. |
Mfalme Mswati III akisalimiana na Mhe. Shamim Nyanduga, Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji ambaye anawakilisha pia Swaziland mara baaada ya kuwasili. |
Mhe. Dkt. Bilal akiongozana na Mfalme Mswati III pamoja na Mhe. Bernard K. Membe (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa mara baada ya kumpokea Kiongozi huyo. |
Mhe. Dkt. Bilal akizungumza na Mfalme Mswati III. |
Mhe. Membe akizungumza na Waandishi wa habari kuhusu ziara ya Mfalme Mswati III. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.