Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa, Balozi Rajabu Gamaha (kulia) pamoja na Katibu Mkuu Msaidizi wa
masuala ya Sheria katika Umoja wa Mataifa, Bw. Stephen Mathias (kushoto)
wakisaini Mkataba kuhusu "Suplementary Agreement to the Agreement
between the United Republic of Tanzania and the United Nations concerning the
Headquarters of the International Residual Mechanism for Tribunals".
Taasisi hii ya Kimataifa itajengwa Jijini Arusha eneo la Lakilaki kwa ajili ya
kuweka kumbukumbu ya kazi za iliyokuwa Mahakama ya Kimataifa ya Mauaji ya
Kimbari ya Rwanda (ICTR).
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.