Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada, Mhe. Christian Paradis' (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Dora Msechu mara baada ya kuwasili nchini kwa ziara ya siku mbili kuanzia tarehe 3-4 Februari, 2014. Akiwa nchini Mhe. Paradis atashiriki Kongamano kuhusu Afya ya Mama na Mtoto.
|
Mhe. Waziri Paradis' (kulia) akisalimiana na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Benno Ndulu mara baada ya kuwasili nchini. |
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.