Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim akimpokea Waziri Mkuu wa Msumbiji, Mhe. Dr. Alberto Antonio Vaquina mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Waziri Mkuu huyo ambaye ameambatana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Mhe. Eduardo Coloma ni miongoni mwa viongozi wengi kutoka duaniani kote watakaoshiriki Maadhimisho ya kilele cha miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yatakayofanyika tarehe 26 Aprili, 2014. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.