Mhe. Bernard K. Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania akitoa mchango wa Tanzania kwenye Kikao cha Mawaziri wa Umoja wa Afrika. Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia na kwenye Umoja wa Afrika Mhe. Naimi Aziz na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mhe. Christopher Chiza wakifuatilia mchango huo kwenye mkutano unaoendelea Mjini Malabo Equatorial Guinea tarehe 23-24 Juni 2014. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.