Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Susan Kolimba (kulia) akimsikiliza Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Czech Mhe.Ivan Jancarek wakati wa mazungumzo waliyoyafanya Wizarani Jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo yao walijadili namna ya kuimarisha ushirikiano baina ya nchi hizi mbili katika sekta mbalimbali ikiwemo kilimo, elimu na utalii. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.