Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akiwa katika mazungumzo na Kaimu Balozi wa Saudi Arabia nchini, Bw. Bandar Abdullah Alhazani ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Masuala yaliyojadiliwa katika mazungumzo hayo ni pamoja na uhusiano kati ya Tanzania na Saudi Arabia ambao ulielezwa kuwa ni mzuri. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.