Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi (Mb.), katikati, anaongoza ujumbe wa Tanzania kwenye ziara ya kutembelea na kujifunza juu ya mipaka iliyopo kati ya Tanzania na Uganda. Watatu kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Isaack Kamwele, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Suzan Kolimba (wa tatu kutoka kulia), Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Aziz Mlima (wa pili kutoka kulia), Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe Gerson John Mdemu (wa kwanza kulia) na wa kwanza kushoto ni Bw. Deogratias Nholope, wakitizama Mto Kagera ulipopita. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.