Mkurugenzi mtendaji wa SADC Dkt. Stargomena Tax (wa pili kushoto) akizungumza kwenye mkutano wa 19 wa Mawaziri wa SADC mara baada ya ufunguzi wa ngazi ya wataalam, kulia kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mwenyekiti wa Organ Dkt. Aziz Mlima, kushoto ni Mkurugenzi wa Organ kwenye masuala ya Siasa, Ulinzi na Usalama Bw. Jorge Cardoso, Mwisho kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kikanda Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Innocent Shiyo, Mkutano huo unafanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 17 - 21 Julai. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.