Bw. Ichiro Aisawa nae akizungumza. Kushoto ni Balozi wa Japan nchini, Mhe. Masaharu Yoshida |
Mhe. Mahiga akifafanua jambo wakati wa mazungumzo. Kulia ni Bi. Justa Nyange, Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. |
Waziri Mahiga akiagana na Bw. Ichiro Aisawa mara baada ya kumaliza mazungumzo yao. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.