Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Adolf Mkenda akizungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini, Bi. Inmi Patterson alipofika Wizarani kwa ajili ya mazungumzo ya kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Marekani. |
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.