Mheshimiwa Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akila kiapo cha kuongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye sherehe za uapisho zilizofanyika Uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma.
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akila kiapo cha kuongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye sherehe za uapisho zilizofanyika Uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.