Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Mhe. John Baird alipowasili kwenye Hoteli ya Hyatty Regency Kilimanjaro kwa ajili ya kushiriki Chakula cha Mchana kilichoandaliwa kwa heshima yake na Mhe. Membe. Mhe. Baird yupo nchini kwa ziara ya kikazi ya siku mbili ambapo pamoja na mambo mengine pia watazungumza kuhusu kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Canada pamoja na kusaini Mkataba "Foreign Investment, Promotion and Protection Agreement" (FIPA). |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.