Mhe. Membe akiongoza kikao hicho cha maandalizi. |
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John Haule na Balozi Rajabu Gamaha, Naibu Katibu Mkuu wakimsikiliza Mhe. Membe (hayupo pichani) wakati wa kikao hicho. |
Mkurugenzi wa Chuo cha Diplomasia, Balozi Mohammed Maundi (kushoto) na Bw. Andy Mwandembwa, Kaimu Mkuu wa Itifaki wakimsikiliza Mhe. Waziri (hayupo pichani) |
Bw. Omar Mjenga (kushoto), Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Ausralasia na Bw. Khamis Kombo, Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Mambo ya Nje Zanzibar wakifuatilia kikao kwa makini |
Kikao kikiendelea |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.