Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Mbelwa Kairuki akizungumza wakati wa mkutano kati yake na Mkurugenzi anayeshughulikia masuala ya Afrika na Mashariki ya Kati kutoka Jamhuri ya Korea Bw. KWON Hee-seog (hayupo pichani) kuhusu masuala mbalimbali katika kuimarisha ushrikiano kati ya Tanzania na Jamhuri ya Korea. Mkutano huo uliwahusisha pia wadau kutoka Wizara na Taasisi mbalimbali za hapa nchini akiwemo Mkurugenzi wa Mamlaka ya Ukanda Maalum wa Uwekezaji (EPZA), Dkt. Adelhelm Meru (mwenye miwani). |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.