Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete kwenye meza kuu mara baada ya kuwasili kwenye "Usiku wa Jakaya" ambapo Watanzania waishio nchini Marekani - Diaspora walimpongeza kwa uongozi wake nchini Tanzania. Wengine kwenye meza kuu ni Mhe. Bernard Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Liberata Mulamula Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Mhe. Amina Salum Ali, Balozi wa Umoja wa Afrika nchini Marekani na Bw. George Sebo, Mwenyekiti wa CCM Tawi la DMV, Marekani. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.