Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Libarata Mulamula kwa pamoja na Balozi wa Heshima wa Tanzania nchini Uturuki, Bw. Ziya Karaham (kushoto) wakisaini mkataba ili kumwezesha Bw. Karaham kuendelea kuiwakilisha Tanzania nchini Uturuki. Mkataba huo ulisainiwa Wizarani tarehe 25 Agosti, 2015. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.